Hapa Sagna katika siku yake ya kwanza akifanyiwa mambo vipimo Carrington.
Hapa Beach: Bacary Sagna akifurahia mapmziko na mkewe Ludivine
Sagna wakiogelea na mpenzi wake Ludivine.
Mwili wa mrembo Ludivine Sagna wakati wakiwa mapmzikoni huko Marekani.
Kirembo cha Sagna Ludivine
Sagna akiwa na mremo wake maisha yakisonga.
Sagna na mkewe Ludivine
Ludivine katika pozi.
Kama wanaambiana Twende zetu baada ya kupunga upepo wa bahari.
No comments:
Post a Comment