Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 21, 2014

LIVERPOOL YAMRUDISHA MTUKUTU BALOTELLI KATIKA LIGI KUU YA ENGLAND.

Balotelli akikunjana na aliyekuwa kocha wa manchester City Roberto Mancin enzi hizo 2012

Balotelli alijiunga na Manchester City mwezi Augost kutoka Inter Milan ya Italia kwa uhamisho wa paund milioni 24  na kufunga magoli 30 katika michezo 80 nakuisaidia Man City kunyakua taji la kwanza la ligi kuu ya England chini ya kocha Roberto Mancin ambaye baade alitimuliwa.
                                     Mkule.blogsport.com







No comments:

Post a Comment