Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 23, 2014

ATLETICO MADRID YAINYOOSHA REAL MADRID,YATWAA SPANISH SUPER CUP.

kikosi cha Atletico madrid  kikishangilia ubingwa wa Spanish super cup.

Mario Mandzukic ambaye alisajiliwa kwa Euro milioni 20 akitokea Bayern Munich alifunga goli hilo la pekee kwenye mchezo huo mapema katika dakika ya 2  baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Antoine Griezmann.

Mario Mandzukic akishangilia goli alilofunga kwenye mchezo wa jana usiku kati ya timu yake ya Atletico Madrid na Real Madri uwanja wa Vicente Calderon.


KESHO.AUG 24 2014.

          
                      Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment