Pages

Ads 468x60px

Friday, August 29, 2014

TORRES HUYOOOOOOOO AC MILAN,NI KWA MKOPO WA MIAKA MIWILI.

                                                                    Fernando Torres.

Klabu ya Chelsea  ya England imefikia makubaliano na AC Milan ya Italia juu ya mchezaji Fernando Torres kwenda Italia kwa mkopo wa miaka miwili.

Imeelezwa baada ya pande zote mbili kukubaliana TOrrez ambaye ni raia wa Hispania anataraji kufanyiwa vipimo vya afya jumamosi ya wiki hii tayari kwakuanza maisha yake mapya akiwa na miaka hao wa Rossoneri.
 Pamoja na Milan huonyesha woga wa kumsajili mhispania huyo mapema wiki hii kutokana na kuhofia malipo ya mshahara wake wa Euro laki mbili na elfu kumi na nne hatimae tim u hizo zimefikia makuliano na sasa Torres atakipiga katika ligi kuu ya Italia Serie A.
Torres ambaye alisajiliwa kwa Euro milioni 63 akitokea Liverpool atachezea AC Milan hadi mwaka 2016 na atakuwa akivaa jezi namba 9  iliyoachwa na mshambuliaji Mario Balotelli aliyejiunga na Liverpool mwanzoni mwa wiki hii.
                 
                                                                    Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment