Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 24, 2014

WANAUMEEEE,EL MEREKH MACHAMPIONI WA KAGAME NI TANGU 1994.



                    Kikosi cha El merekh kikishangilia ubingwa wa Kagame leo mjini Kigali Rwanda.

Hekaheka za michuano ya kombe la Kagame zimefikia tamati leo nakushuhudia El merekh ikinyakua kombe hilo baada ya kuifunga APR goli 1 kwa 0 lililotiwa kambani na mshambulizi Allan Wanga.
Mara baada ya mchezo huo mlinda mlango wa El merekh Magule Omari akatangazwa mchezaji bora wa mchezo mara baada ya kutajwa kuwa mchezaji bora mlinda mlango huyo mwenye umri wamiaka 21 amesema hiyo ni furaha kwakuwa haikuwa rahisi kushinda katika ardhi ya ugenini.
mlinda mlango wa El merekh Magule Omari aliyechaguliwa mchezaji bora wa mchezo wa leo wa fainali dhidi ya APR.

Pambano hilo lililohudhuriwa na rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye ni mdhamini mkuu wa michuano hiyo katika pambano la kusaka mshindi wa tatu timu ya Polisi ya Rwanda imeifunga KCCA ya Uganda kwa mikwaju 4 kwa 2 ya penalty baada ya kutoka sare ya 1 kwa 1 ndani ya dkk 90.
  Mara ya mwisho kwa El merekh kutwaa taji hilo ni mwaka 1994 ambapo waliifunga Express ya Uganda magoli 2 kwa 1 michuano hiyo ikiandaliwa nchini Sudan.

Zawadi kwa washindi.
1.kikombe,medali za dhahabu  na dola elfu 30.
2.medali za fedha na Dola elfu 20.
3. dola elfu 10.








List of CECAFA Club Cup and Kagame Interclub Cup winners
Year[1]
Country
Winners
Score
Runners-up
Country
Hosts
5–0dagger[A]

1968–73
Halteddagger[B]
2–0
2–1
2–1
0–0*[C]
1–0
3–2
1–0
1–0
2–1
2–1
2–0
2–2*[D]
1–0
2–0
3–0
1990
Not helddagger[E]
3–0
1–1*[F]
2–1
2–1
1–1*[G]
1–0
1–0
2–1
1–1*[H]
3–1
0–0*[I]
1–0
1–0
3–1
3–0
2–1
2–1
2–1
1–0
2010
Not helddagger[J]
1–0
2–0




                                       Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment