Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 14, 2014

MSIMAMO MPYA WA UBORA WA SOKA DUNIANI HUU HAPA TANZANIA YAPOROMOKA.


Shirikisho la soka duniani FIFA leo limetoa takwimu za msimamo wa ubora wa soka duniani kamailivyokawaida ambapo mabingwa wa dunia Ujeruamani wameendelea kukaa kileleoni tangu waifunge Argentina katika mchezo wa fainali za mwaka huu za kombe la dunia nchini Brazil.

Katika msimamo huo Algeria imeendelea kuongoza kwa Afrika ikishika nafasi ya 24 kidunia huku Ivory coast ikifuatia kwa nafasi ya pili Afrika kidunia ikishika nafasi ya 25.

Katika ukanda wa Afrika mashariki na kati Uganda imeendelea kupeta kwakuongoza ukanda huo kidunia ikishika nafasi ya 81,Rwanda ni ya pili kwa ukanda wa Afrika mashariki ikishika nafasi ya 101 kidunia,Kenya ni ya tatu kukanda wa Afrika mashariki ikishika nafasi ya 104 kidunia huku Tanzania ikishika nafasi ya 106 kidunia na Afrika mashariki ikishika nafasi ya Tatu.
 


FIFA/Coca-Cola World Ranking  leo tar 14.Augost.

Rnk
Team
Pts
+/- Pos


1
Germany
1736
0
Equal


2
Argentina
1604
0
Equal


3
Netherlands
1507
0
Equal


4
Colombia
1495
0
Equal


5
Belgium
1407
0
Equal


6
Uruguay
1316
0
Equal


7
Spain
1241
1
Up


7
Brazil
1241
0
Equal


9
Switzerland
1218
0
Equal


10
France
1212
0
Equal


11
Portugal
1152
0
Equal


12
Chile
1100
0
Equal


13
Greece
1092
0
Equal


14
Italy
1069
0
Equal


15
Costa Rica
1023
1
Up


16
Croatia
964
1
Up


17
Mexico
942
1
Up


18
USA
937
-3
Down


19
Bosnia and Herzegovina
925
0
Equal


20
England
915
0
Equal


21
Ecuador
910
0
Equal


22
Ukraine
901
0
Equal


23
Russia
899
0
Equal


24
Algeria
880
0
Equal


25
Côte d'Ivoire
840
0
Equal


26
Denmark
818
0
Equal


27
Romania
740
1
Up


28
Scotland
738
-1
Down


29
Venezuela
724
1
Up


29
Sweden
724
0
Equal 

 Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment