Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 19, 2014

UEROPA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.






Hekaheka za kuwania kuingia hatua ya makundi kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa Champions League  zinaanza leo ambapo vilabu 10 vinaraji kucheza michezo yao ya kwanza.
Mipambano hiyo ambayo itachezwa majira ya saa tatu na dakika arobaini natano usiku  kwa saa za Afrika ya Mashariki timu ya Arsenal itakuwa ugenini kucheza na Besiktas wakati  Napoli ya Italia itakuwa nyumbani kuikaribisha  Atletico Bilbao.  
Fc København itakuwa ikiikaribisha Bayer Leverkusen ya Ujerumani wakati  Steaua Bucurest itakuwa mwenyeji wa Ludogorets .
Katika michezo mwengine Sulzbarg itakuwa  kwenye uwanja wake wa nyumbani  wa Red Bull Arena kukabiliana na Fc Malmo ya nchini Sweden na michezo hatua hiyo ya awali itaendelea tena kesho kwa michezo 10.

                           Michezo ya kesho.
















          AaB     21:45    Apoel




                          Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment