Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 9, 2014

MAOFISA WA FIFA KUTUA NCHINI KESHO KUKAGUA MAENDELEO YA SOKA.



                           Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tff Jamal Malinzi
Maofisa wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.

Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita, baada ya ziara yake utashauri jinsi ya kuboresha uendeshaji huo katika kikao cha pamoja kati yake na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitakachofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.


 BONIFACE WAMBURA
OFISA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF.

                           Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment