Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 26, 2014

MANCHESTER UNITED YAVUNJA REKODI YA USAJILI ENGLAND YATWAA SAINI YA DI MARIA.

 
Hapa Di Maria akiwasili Carrington uwanja wa mazoezi wa Manchester United kwaajili ya kufanyiwa vipimo


 Hapa Di Maria akiwasili Carrington uwanja wa mazoezi wa Manchester United kwaajili ya kufanyiwa vipimo

Katika hatua nyinge wakati Di Maria akitarajiwa kukamilisha vipimo vya afya leo hii inaelezwa kuwa Arturo Vidal nayo yu mbioni kutua Manchester United kabla ya kufungwa kwa dirisha hili la usajili barani Ulaya.


Usajili mkubwa zaidi uliofanywa na vilabu vya Uingereza.
2011
Fernando Torres
£50m
Liverpool to Chelsea
2013
Mesut Ozil
£42.4m
Real Madrid to Arsenal
2011
Sergio Aguero
£38m
Atletico Madrid to Manchester City
2014
Juan Mata
£37.1m
Chelsea to Manchester United
2011
Andy Carroll
£35m
Newcastle to Liverpool
2014
Alexis Sanchez
£35m
Barcelona to Arsenal


                             Mkuleblogsport.com

No comments:

Post a Comment