Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 20, 2014

NANI ATUA RASMI SPORTING LISBON YA URENO.


              Luis Nani akiwasili nyumbani kwao Ureno.

Winga wa Manchester United Luis Nani amerejea rasmi katika klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno kwa mkopo wa muda mrefu baada ya kukaa Old Traford kwa miaka takribani Saba.

Nani mwenye umri wa miaka 27 amerudi kwenye timu hiyo aliyokuwa anaichezea klaby ya kusajiliwa na Manchester United mwaka 2007 na kocha Sir Alex Ferguson  kwa paundi milioni 20.

Nani kujiunga na Sporting Lisbon kwa mkopo wa muda mrefu ni makubaliano ya vilabu hivyo baada ya Manchester United kumsajili mlinzi wa kiargentina Marcos Rojo aliyesajiliwa na United kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 20.









NANI  AKIWA MANCHESTER UNITED 

ALISAJILIWA : June 2007  KWA EURO MILIONI 20.
2007-08 - Games: 41 Goals: 4
2008-09 - Games: 30 Goals 6
2009-10 - Games 35 Goals 6
2010-11 - Games 49 Goals 10 
2011-12 - Games 40 Goals 10
2012-13 - Games 21 Goals 3
2013-14 - Games 13 Goals 1
2014-15 - Games 1 Goals 0 
Total: Games 230 Goals 40 


                                                 Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment