Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 12, 2014

ANCELOTTI;KHEDIRA HAUZWI NG'OO.




                                                                Sami Khedira.

Kocha mkuu wa machampion wa klabu bingwa Ulaya Real Madrid Carlo Ancelotti amezionya timu za Arsenal na Chelsea zinazomnyemelea  kiungo wake Sami Khedira kwakusema nyota huyo raia wa Ujerumani hauzwi.
 Khedira ambaye amekuwa akitajwa kuwindwa na vilabu vilivyotajwa,kocha Carlo Ancelotti amesema mchezaji huyo hatoondoka Santiago Bernabeu ataendelea kuwa mali ya Real Madrid hadi mkataba wake utakapomalizika mwezi wa sita 2015.
 Akizungumza kuelekea katika mchezo wa Uefa Super Cup kocha huyo amesema Khedira ni mchezaji aliyopo kwenye mipango yake na hawatakuwa tayari kumuuza kwa sasa.
 Katika hatua nyingine nyota wa timu hiyo Gareth Bale amesema amejipanga msimu huu watwae mataji yakutosha kwakuwa kikosi chao hivi sasa kimeimariha hivyo kinakila sababu ya kushinda makombe mengi zaidi ya msimu uliopita.

                                Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment