Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 9, 2014

MATOKEO YA MICHEZO YA CHAMPIONSHIP LEO HAYA HAPA.


Pazia la michuano ya ligi hiyo ambayo hutoa timu tatu kupanda daraja kwenda ligi kuu nchini England lilifunguliwa jana kwa mchezo baina ya Cardif City na Blackbarn Rovers na kumalizika kwa  timu hizo kufungana goli 1 kwa 1.

mchezo kati ya Ipswich na Fulham unachezwa mda mchache baadae.

                          Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment