Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 5, 2014

MURRY:NIPO FITI 100% KUFANYA MAZOEZI.




                                                Andy Murry.

Bingwa namba moja katika mchezo wa Tenisi Uingereza kwa wanaume Andy Murry amesema kwasasa anaweza kufanya mazoezi kwa asilimia mia moja tangu afanyiwe upasuaji wa mgongo mwaka jana.
Murry mwenye umri wa miaka 27  amesema hakuwa akifanya mazoezi sana tangu  kuanza kwa mwaka huu kutona  na maumivu ya mgongo lakini hivi sasa amepona vyema na anaweza kujifua kwa asilimia mia moja.
Muingereza huyo ambaye alifanyiwa upasuaji mwezi wa 9  mwaka jana na kurejea uwanjani mwezi wa 12 amebainisha kuwa alipofanyiwa upasuaji huo hakuweza kufanya baadhi ya mazoezi lakini kwasasa anaweza fanya.

Mchezaji huyo ambaye ni bingwa wa mwaka jana katika michuano ya Wimbledone hivi karibuni alitangaza kuwa mwanamama Amelie Mauresmo ataendelea kuwa kocha wake na hivi sasa anajiandaa kushiriki mashindano ya wazi ya Marekani yanayotaraji kuanza tarehe 25 ya mwezi huu.

Ufuatao ni msimamo mpya wa ubora wa Tenisi duniani kwa upande wa wanaume. (ATP singles rankings 4 August 2014)
1. Novak Djokovic (Ser)
2. Rafael Nadal (Spa)
3. Roger Federer (Swi)
4. Stanislas Wawrinka (Swi)
5. Tomas Berdych (Cze)
6. Milos Raonic (Can)
7. David Ferrer (Spa)
8. Grigor Dimitrov (Bul)
9. Andy Murray (GB)
10. Juan Martin Del Potro (Arg)
11. Kei Nishikori (Jpn)
12. Ernests Gulbis (Lat)
13. Richard Gasquet (Fra)
14. John Isner (US)
15. Jo-Wilfried Tsonga (Fra)
16. Roberto Bautista Agut (Spa)
17. Alexandr Dolgopolov (Ukr)
18. Marin Cilic (Cro)
19. Fabio Fognini (Ita)
20. Tommy Robredo (Esp)
Other Britons in top 300:
150. James Ward
156. Daniel Evans
206. Daniel Cox
210. Kyle Edmund
243. Daniel Smethurst
292. David Rice 
                           Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment