Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 26, 2014

WEST HAM YAPATA PIGO CARROLL AUMIA,KUKAA NJE YA DIMBA MIEZI MITATU.











                                     Andy Carroll.

 Mchezaji wa timu ya West Ham Andy Carroll,anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa miezi mnne kufuatia kupata majeraha ya goti wakiwa ziarani kujiandaa na ligi kuu Enland.
Carroll, leo atafanyiwa upasuaji katika mguu wake wa kushoto sehemu ya goti baada ya kuumia wakati wakiwa kwenye ziara yao nchini Uholanz ya kujiandaa na msimu mpya unao kuja.
Hata hivyo si mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kupata majeraha kama hayo akiwa na kikosi hicho kwani mwaka 2012 mwezi wa 10 alikaa nje ya uwanja mwezi mmoja kutokana na majeraha ya goti.
Taarifa kutoka katika tovuti ya West Ham imeeleza kuwa wamepata pigo kubwa baada ya mchezaji huyo kupata majeraha hayo huku bado wakiendelea kuwa na matumaini ya kurejea mapema kwa nyota huyo.

                           Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment