Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 12, 2014

FRANCIS MIYEYUSHO ATAMANI KUPANDA ULINGONI BAADA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.




    Bondia Francis Miyeyusho akiwa na wapambe wake kwenye mmoja ya mipambano yake.


Bondia Francis Miyeyusho amesema atakuwa tayari kurejea ulingoni mara baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, kufuztia hivi sasa mapromota wengi wapo kwenye mpango wa kutimiza ibada hiyo kwa waumini wa dini ya kiislam.

Amesema mara baada ya kupanda ulingoni mara mbili mfululizo miezi miwili iliyopita kwa sasa anajifua ipasavyo, huku akisubiri Promota yoyote ambae atakuwa taayri kumuandalia pambano.

hatahivyo Miyeyusho amesema angependa kuandaliwa pambano na bondia yeyote mwenye uwezo wa kucheza naye huku akihimiza uaminifu kwa mapromota hapa nchini kwakuwa wapo baadhi yao hawajali maslahi ya mabondia na badala yake hujinufaisha wenyewe tuu.
 
              Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment