Pages

Ads 468x60px

Monday, July 28, 2014

DEJAN LOVREN ATUA RASMI LIVERPOOL.





                                           Dejan Lovren.

Timu ya soka ya Liverpool imekamilisha usajili wa mlinzi Dejan Lovren kutoka Southampton kwa uhamisho wa Euro milioni 24 nakuwa mchezaji watano kusajiliwa na kocha Brendan Rodgers.
Lovren ambae ni raia wa Croatia anaungana na wachezaji wenzake aliocheza nao kwenye timu ya Southampton Rickie Lambert na  Adam Lallana  waliohamia  Anfield msimu huu wa usajili barani Ulaya.
Akizungumza mara baada ya kukamilisha uhamisho wake Lovren amesema anajisikia furaha kwa ndoto zake kukamilika kwakuwa alikuwa alipokuwa akicheza Anfield msimu uliopita akiwa na Southampton alikuwa akiwaza kuchezea Liverpool siku mmoja.
Kusajiliwa kwa Lovren ni habari mbaya kwa timu za Arsenal na Tottenham Hotspurs ambazo zote kwa pamoja zilikuwa zinamwania mchezaji huyo.

                       Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment