Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 29, 2014

ROBERT PEREZ KURUDI UWANJANI TENA.





                         Robert Pires akiwa na jezi ya timu ya taifa ya Ufaransa.

Licha ya umri kumtupa mkono nyota wa zamani wa klabu ya Arsenal Robert Pires amethibitisha kuwa ataendelea kucheza soka katika ligi kuu ya nchini India maarufu kama Super League (ISL).

Peres ambaye mwezi wa kumi mwaka huu atafikisha umri wa miaka 41 hajawahi kucheza soka tangu aachane na klabu ya Aston Villa miaka mitatu iliyopita na mchezaji huyo amesema anajisikia furaha kuccheza mpira kwenye ligi hiyo ya India.

Hatahivyo mchezaji huyo aliyewahi kushinda kombe la dunia mara mmoja akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa hajaweka wazi ni timu ipi atakayoenda kuichezea akiwa nchini India.

Kutakuwepo na mashindano mapya nchini India yakishirikisha timu nane kuanzia mwezi wa kumi hadi wa kumi na mbili mwaka huu.

                                      Robert Pires akiwa na jezi ya timu ya Arsenal.

                                           Robert Pires akiwa na jezi ya timu ya Aston Villa.

                                Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment