Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 16, 2014

HAUZWIIIIIIII JUVE YAZIONYA TIMU ZINAZOWINDA SAHIHI YA ARTURO VIDAL.



                                             Arturo Vidal

Uongozi wa mabingwa wa ligi kuu ya Italia Juventus umezitolea uvivu timu zinazo winda saini ya mchezaji wao Arturo Vidal.

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Juve zimejuza kuwa licha ya kupokea maombi kutoka vilabu mbalimbali barani Ulaya vikimhitaji raia huyo wa Chile wao hawana mpango wa kumuuza ntota huyo.
Mkurugenzi wa michezo wa Juve Giuseppe Marotta amesema hawajawahi kufikiria kumpiga bei mchezaji huyo na hadi sasa hawana nia ya kumpeleka sokoni mpachika mabao huyo mahiri.

Taarifa hizi ni mbaya kwa Manchester United ambayo imekuwa ikiimarisha mbio zake za kunasa sahihi ya myoa viduku huyo.

                                 Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment