Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 16, 2014

RASMI MASSIMILLIANO ALLEGRI BOSS MPYA WA JUVENTUS.



 

                                        Massimilliano Allegri

Rasmi uongozi wa mabingwa wa ligi kuu ya Italia  Juventus wamemtangaza Massimilliano Allegri kuwa kocha mkuu wa kikosi chao kuchukua nafasi Antonio Conte aliyejiuzulu jana.

Allegri mwenye umri wa miaka 46 mara baada ya kutangazwa rasmi kuchukua mikoba ya Conte amesema ni heshima kubwa sana kwakwe nakuahidi atahakikisha kikosi cha Juventus kinatwaa vikombwe mbalimbali barani Ulaya.

Allegri ameshashinda taji la ligi kuu ya Italia akiwa na Milan msimu wa 2010/2011.

                                        Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment