Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 17, 2014

UJERUMANI YASHIKILIA USUKANI WA UBORA WA SOKA DUNIANI KWA TAKWIMU ZA FIFA,ENGLAND YAPOROMOKA VIBAYA.






Shirikisho la soka duniani Fifa leo limetoa msimamo wa ubora wa soka ambapo Ujerumani imeshika nafasi ya kwanza  kwa mara ya kwanza  baada ya muda wa miyongo miwili kupita.

Nafasi ya pili imechukuliwa na Argentina huku Uholanzi ikipanda kwa nafasi 12 hadi nafasi ya tatu na Hispania ikiporomoka hadi katika nafasi ya 8  baada ya kuonyesha kiwango kibaya  kwenye fainali za kombe la dunia mwaka huu.

Katika msimamo huo England imeporomoka hadi katika nafasi ya 20 kufuatia vipigo  walivyovipata katika fainali za kombe la dunia mwaka  huu  kutoka kwa Italia na Uruguay nakisha kutoka sare na Costa rica.

Wenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka huu Brazil imeshuka kwa nafasi 4 hadi katika nafasi ya 7 huku Colombia waliofikia hatua ya robo fainali kwenye kombe la dunia mwaka huu imepanda kwa nafasi 4.

Ubelgiji na Ufaransa zimenufaika na kufika kwao hatua ya robo fainali kwenye  kombe la dunia mwaka huu na kushiki nafasi za 5 na ya 10.

Msimamo kwa mataifa 30 ya kwanza.
 


Rnk
Team
Pts
+/- Pos


1
Germany
1724
1



2
Argentina
1606
3



3
Netherlands
1496
12



4
Colombia
1492
4



5
Belgium
1401
6



6
Uruguay
1330
1



7
Brazil
1241
-4



8
Spain
1229
-7



9
Switzerland
1216
-3



10
France
1202
7



11
Portugal
1148
-7



12
Chile
1098
2



13
Greece
1091
-1



14
Italy
1056
-5



15
USA
989
-2



16
Costa Rica
986
12



17
Croatia
955
1



18
Mexico
930
2



19
Bosnia and Herzegovina
917
2



20
England
911
-10



21
Ecuador
901
5



22
Ukraine
898
-6



23
Russia
897
-4



24
Algeria
872
-2



25
Côte d'Ivoire
850
-2



26
Denmark
807
-3



27
Scotland
734
0



28
Romania
733
1



29
Sweden
724
3



30
Venezuela
720
10




msimamo zaidi tembelea www.fifa.com

                          Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment