Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 16, 2014

MBADIDU JACK WILSHARE AENDELEA KUGONGA FEGI HADHARANI KAMA KAWAIDA.


Licha ya mara kadhaa kuzuiliwa kufuta sigara nyota wa Arsenal Jack Wilshare ameendelea kukengeuka baada ya hivi karibuni kubambwa akifuta sigara akiwa na washkaji wenzake wakati wa mapmziko baada ya England kuondoshwa kwenye fainali za kombe la dunia hatua za makundi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha zikimuonyesha kijana huyo Mbadidu akipiga fegi bila kujali kamera za wanahabari nchini England.

.
                                    1.Hapa anavutishwa fegi na mwenzake.

                     2.Hapa Mbadidu Jack Wilshare akiendelea kuvuta fegi.



Hapa ni mwezi wa 10 mwaka jana alipobambwa club moja ya usiku akivuta fegi yake.

                          Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment