Pages

Ads 468x60px

Friday, July 11, 2014

MABINGWA WA LA LIGA WAKAMILISHA USAJILI WA MARIO MANDZUKIC.




Mabingwa wa Hispania Atletico Madrid wametangaza kukamilisha usajili wa mchezaji wa Bayern Munich, Mario Mandzukic kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 17 nukta 5.
Madrid wamethitisha hayo katika tovuti yao kuwa tayari wamekamilisha usajili huo na wanaamini atakuwa na mchango mkubwa katika klabu hiyo.

Manzukich mwenye umri wa miaka 28 amesaini mkataba wa miaka 4 pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mchezaji Diego Costa aliyejiunga na Chelsea hivi karibuni.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Koresha ambaye alishiriki michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Brazil ameonekana kufurahia uamuzi huo wa kwenda kucheza ligi kuu ya Hispania.

mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment