Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 19, 2013

BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSS..................HALI TETE SIMBA RAGE ASIMAMISHWA,KIBADENI NA JULIO NAO WAFUTWA KAZI.

Habari zisizo rasmi kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba Alhadj Ismail Aden Rage asimamishwa Simba kwaundani juu ya taarifa hii na sababu kubwa ya kutimuliwa kwake zitaendelea kukujia kupitia Blog hii hivyo endelea kuitembelea kila mara...ni mkule.blogsport.com

sababu kubwa ya kutimuliwa kwa rage na kamati ya utendani utaijua  muda wowote kutoka sasa lakini mmoja ya sababu hizo ni pamoja na Pesa za Emanueli Okwi na masuala ya kukiuka maadili taratibu za kazi japo na masuala ya siasa kuhusishwa.

Mbali na Rage kutimuliwa kocha mkuu Abdalaah King Kibadeni na msaidizi wake Jamhuri Kiwelu Julio nao inasemekana wamefutwa kazi.

Posted by Yusuph Mkule.

No comments:

Post a Comment