Pages

Ads 468x60px

Saturday, November 23, 2013

CRYSTAL PALACE YAMTEUA TONY PULIS KUWA KOCHA WAO MPYA.





Klabu ya soka ya Crystal Palace imemteua kocha wa zamani wa Stoke City Tony Pulis kuwa kocha wao mpya kwa mklataba wa miaka miwili na nusu.
Uteuzi wa Pulis mwenye umri wa miaka 55  unafuatia kufutwa kazi kwa aliyekuwa kocha mkuu Ian Holloway aliyetimuliwa  oktoba 23 mwaka huu na nafasi yake kushikwa kwa muda na Selhurst Park.
Pulis anaichukua Crystal Palace ikiwa na alama 6 na kibarua chake cha kwanza ni kuiongoza timu yake mpya ambayo inacheza jioni hii na Hull City  ambapo Palace itakuwa ugenini kusaka alama tatu  ambazo hata hivyo zawezi kuitoa timu hiyo kwenye mstari wa kushuka daraja.
Kwasasa Crystal Palace ndito inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya nchini England kwakuwa na alama  4 katika michezo 11 iliyocheza ikishinda mchezo mmoja ikifungwa tiza na kutoka sare mchezo 1.

Posted by Yusuph Mkule.

No comments:

Post a Comment