Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 19, 2013

BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSSSSSS,HUYU NDIYE MRITHI WA KIBADENI SIMBA.

Taarifa ambazo zimeifikia mkule.blogspot.com kutoka jijini Daresalaam zinasema kuwa klabu ya simba imemtangaza Zdravko Logarusic kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuchukua nafasi Abladah King Kibaden huku  Joseph Itang'are  Mzee Kinesi  akiwa mwenyekiti mpya Simba.

Logarusic alikuwa akiifundisha timu ya Gor Mahia  inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Kenya  misimu miwili iliyopita.

mabadiliko hayo ni matokeo ya kikao cha jana cha kamati ya utendaji  kilichoketi.taarifa zaidi zitaendelea kukujia baada ya kumalizika kwa kikao cha klabu hiyo na waandishi wa habari jijini humo.

No comments:

Post a Comment