Pages

Ads 468x60px

Friday, November 8, 2013

AZAM FC.



Kikosi cha Azam fc pamoja na kushika nafasi ya pili kwenye duru ya kwanza VPL naweza kusema hawakustahili  kuwa hapo,nasema hivo kwasababu ukimuuliza shabiki yeyote wa soka timu ipi yenye kila kitu nchini lazima atakujibu Azam fc.
 
Pamoja na kuwa na kocha mzuri aliyeanza kulielewa vyema soka la ukanda wa Afrika ya mashariki Sterwat Hall ambaye tayari ameshakatisha mkataba wa kuifundisha timu hiyo  bado siamini kwanini wameshindwa kumaliza duru hii wakiwa wakwanza  lakini yote kwa yote ukweli wanaujua wao kwanini  hawakumaliza nafasi ya kwanza,ugumu wa ligi au kuna jambo lingine  tusubiri duru ya lala salama  watakujaje.

posted by Yusuph Mkule.

No comments:

Post a Comment