Pages

Ads 468x60px

Friday, September 5, 2014

ZLATAN IBRAHIMOVIC:NI FURAHA SANA KUWA KINARA WA MABAO KWENYE TAIFA LANGU.



                                  Zlatan Ibrahimovic.

Mshambuliaji wa klabu ya PSG ya Ufaransa  Zlatan Ibrahimovic amesema  kuwa mfungungaji wa muda  wote wa timu yake ya taifa ya Swiden  ni jambo kubwa na la mhimu katika maisha yake ya soka.
Mchezaji huyo alifunga magoli magoli mawili kwenye mchezo wa jana baina ya Swiden na Estonia nakufikisha magoli 50 katika mchezo 99 aliyoicheza  kwenye timu yake ya taifa na amebainisha kuwa jambo hilo linatokana na jitihada alizonazo  kwa ufungaji.
Zlatan mwenye umri wa miaka 32 hivi sasa amesema siku zote amekuwa hachoki kufunga magoli pindi apatapo nafasi na  hilo limemfanya awe kinara wa magoli kwenye timu hiyo ambayo mwaka huu haijashiriki fainali za kombe la dunia nchini Brazil.
Katika mchezo wa jana mara baada ya kufunga magoli mawili mchezaji huyo aliyewahi kuichezea Fc Barcelona ya Hispania alivua jezi yake ya juu na kubaki na tisheti ya ndani yenye maneno   ni wewe uliyewezesha  magoli 50 kabla ya kuzawadiwa kadi ya njano na mwamuzi.
                                 Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment