Marin
Cilic
Mcheza Tenisi raia wa Croatia Marin
Cilic amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya wazi ya Marekani baada ya kumfunga
mpinzani wake raia wa Japan Kei Nishikori ukiwa ni ushindi wa seti 6 kwa 3,
6kwa3, na 6 kwa 3 pambano lililodumu kwa saa moja na dakika 54.
Cilic amekuwa raia wa kwanza wa Croatia
kutwaa taji hilo ambalo ni miongoni mwa
mataji manne makubwa duniani tangu mwaka 2001 ambapo Goran Ivanisevic
alishinda taji la Wimbledon.
Akizungumza mara baada ya kushinda
taji hilo Goran amesema amejisikia bfuraha kutwaa taji hilo ambalo alikuwa
akilisaka miaka kadhaa iliyopita bila mafanikio
na hatimae mwaka huu ndoto yake imetimia.
Mchezajin huyo ambaye anashika
nafasi ya 16 kwa ubora wa Tenisi duniani kwa
upande wa wanaume amesema anaamini amecheza vyema na hatimae kupata
ushindi huo anaousherehekea na watu wake wa karibu.
Match stats
|
||
Marin
Cilic
|
Kei
Nishikori
|
|
Match time: 1hr 54mins
|
||
17
|
Aces
|
2
|
3
|
Double faults
|
1
|
52
|
1st serve %
|
51
|
80
|
1st serve win %
|
55
|
61
|
2nd serve win %
|
59
|
38
|
Winners
|
19
|
27
|
Unforced errors
|
30
|
5/11
|
Break points won
|
1/9
|
Mkule.blogsport.com
No comments:
Post a Comment