Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 16, 2014

BAADA YA MIAKA MITANO LIVERPOOL YARUDI KULISAKA TAJI LA UCL.



                             Mr.Liverpool Steven Gerald.

 Hatua ya makundi ya michunao ya klabu bingwa barani Ulaya inaanza leo kwa vilabu 16 kushuka viwanjani huku Liverpool ikiionja michuano hiyo kwa mara ya kwanza  tangu mwaka 2009 ambapo timu hiyo ilishiriki kwa mara ya mwisho.
Ikiwa imepita miaka mitano tangu washiriki kwa mara ya mwisho Liverpool chini ya kocha Brendan Rogers watakuwa nyumbani Anfield kuikaribisha  timu ya Ludogorits kutoka nchini Bulgaria.
 Miongoni mwa michezo ya leo timu ya Arsenal itakuwa ugenini kuikabili Borussia Dortmund wakati Olympiakos ya Ugiriki itakuwa ikiikaribisha Atletico Madrid ya Hispania huku mabingwa watetezi Real Madrid watakuwa nyumbani kuialika Fc Basel ya Uswis.
      Michezo yote kuanza saa tatu na dkk 45 usiku.

                              Mkule.blogsport.com

No comments:

Post a Comment