Kifaa kipya cha Mashetani wekundu Manchester United Radmel Falcao.
Mshambuliaji mpya wa klabu ya
Manchester united raia wa Colombia Radmel Falcao amekabidhiwa jezi namba 9
baada ya kufaulu vipimo vya afya katika siku ya mwisho ya usajili wa wachezaji
barani Ulaya.
Falcao ambaye amesajiliwa ajitokea
Monaco ya Ufaransa amepewa jezi hiyo baada ya kukaa muda mrefu bila kuvaliwa
tangu aicha Dimitar Berbatov ambaye alijiungaa na Fulham.
Miongoni mwa wachezaji waliowahi
kuvaa jezi no,9 katika klabu ya Manchester United mbali na Berbatov ni Louis
Saha, Andrew Cole na bBrian McClair.
Falcao mwenye umri wa miaka 28
ataitumikia United kwa mkopo wa mwaka mmoja huku kukiwepo kwa kipengele cha
kuiruhusu timu hiyo ya jijini Manchester kumsajili mmoja kwa mmoja kwa ada ya
paundi milioni 43.5.
Raia huyo wa Colombia ambaye
alizikosa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil kutokana na kuwa
majeruhi mara baada ya kutua Man United amesema anajifikia furaha kuichezea
klabu kubwa duniani hatakama kwa mkopo.
Falcao amesema anafurahi kucheza
chini ya kocha Lois Van Gaal huku akiahidi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio
makubwa muda wote ataokuwa akicheza.
Katika msimu huu wa usajili barani Ulaya klabu
ya Manchester United ndiyo iliyoongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha pesa
kikifuatiwa na kikosi cha Liverpool.
Usajili uliokamilika katika siku ya mwisho msimuu huu
kwa klabu za ligi kuu ya England.
Radamel Falcao - Monaco to Manchester United
(season-long loan)Michael Keane - Manchester United to Burnley (loan until January)
Nick Powell - Manchester United to Leicester (season-long loan)
Danny Welbeck - Manchester United to Arsenal (undisclosed)
Hatem Ben Arfa - Newcastle to Hull City (season-long loan)
Tom Lawrence – Manchester United to Leicester (£1 million)
Sadio Mane - Red Bull Salzburg to Southampton (undisclosed)
Kevin Doyle – Wolves to Crystal Palace (loan)
Krisztian Adorjan – Liverpool to Novara Calcio (undisclosed)
Toby Alderweireld – Atletico Madrid to Southampton (loan)
Morgan Amalfitano – Marseille to West Ham (undisclosed)
Niko Kranjcar - Dynamo Kiev to QPR (season-long loan)
Alvaro Negredo – Manchester City to Valencia (season-long loan)
Oussama Assiadi – Liverpool to Stoke City (season-long loan)
Gaston Ramirez – Southampton to Hull City (season-long loan)
Mapou Yanga-Mbiwa - Newcastle to Roma (season-long loan)
Sandro - Tottenham to QPR (undisclosed)
Micah Richards – Manchester City to Fiorentina (season-long loan)
James McArthur - Wigan Athletic to Crystal Palace (£7 million)
Ryo Miyaichi - Arsenal to FC Twente (season-long loan)
Zeki Fryers – Tottenham to Crystal Palace (£3 million)
Kris Scott – Swansea to Leicester (free)
Daley Blind - Ajax to Manchester United (£14 million)
Ricky Alvarez - Inter Milan to Sunderland (season-long loan)
Mohamed Diame - West Ham to Hull City (£3.5 million)
Sebastian Coates - Liverpool to Sunderland (season-long loan)
Lewis Holtby - Tottenham to Hamburg (season-long loan)
Abel Hernandez - Palermo to Hull City (£10 million)
Javier Hernandez - Man Utd to Real Madrid (season-long loan)
Brian Lenihan - Cork City to Hull City (undisclosed)
Karim El Ahmadi - Aston Villa to Feyenoord (undisclosed)
George Boyd - Hull City to Burnley (£3million)
Modou Barrow - Ostersunds FK to Swansea (undisclosed)
Modibo Diakite - Sunderland (released)
Tomislav Gomelt - Tottenham to Bari (loan)
Souleymane Coulibaly - Tottenham to Bari (undisclosed)
Marco van Ginkel - Chelsea to AC Milan (season-long loan)
Benjamin Stambouli - Montpellier to Tottenham (undisclosed)
Nathaniel Chalobah - Chelsea to Burnley (loan)
Valentin Roberge - Sunderland to Stade de Reims (season-long loan)
Jose Canas - Swansea to Espanyol (contract cancelled by mutual consent)
Mkule.blogsport.com
No comments:
Post a Comment