Pages

Ads 468x60px

Monday, December 2, 2013

UGANDA HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOO YATINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA CHALLANGE.






Timu ya taifa ya Rwanda Amavubi leo imejiweka pabaya katika michuano ya kombe la Challenge baada ya kufungwa goli 1 kwa 0 na Sudani mchezo uliochezwa kwenye dimba la nyasi bandia la City mjini Nairobi Kenya.
Alikuwa ni mchezaji Salah Ibrahim aliyewakatisha tama Wanyarwanda hao baada ya kunga goli hilo pekee dkk 29 kwa shuti kali lililoenda moja kwa moja kimiani kwenye mchezo huo wa kundi C.
Hiki ni kipigo cha pili mfululizo inachokipata Rwanda kwenye michuano hiyo iliyoanza kutimua vumbi Nov 27 mwaka huu matokeo ambayo yanaifanya Rwanda ikose matumaini ya kutinga Robo fainali hasa ikikumbwa kuwa walifungwa goli 1 kwa 0 na Uganda katika pambano la awali.

Katika Pambano la pili kwenye kundi hilo la C mabingwa watetezi  Uganda wakiongozwa na nyota wao Hamisi Kiiza na Emanueli Okwi wametinga robo fainali baada ya kuifunga Eritrea magoli 3 kwa 0.
Magoli ya Uganda hii leo yametiwa kimiani na Emanueli Okwi aliyefunga katika dk 9 na 39 huku nyota wa klabu ya Yanga Hamisi Kiiza akifunga goli la 3 kwamkwaju wa penalty.

Ushindi huo, unaifanya Uganda ifikishe alama  sita baada ya awali kuifunga Rwanda goli  1-0  na kupanda kileleni mwa Kundi hilo kwa wastani wa mabao, kwani hata Sudan ina pointi sita.

Michuano hiyo inataraji kuengelea tena kesho Sudani kusini ikiikabili Ethiopia huku wenyeji Kenya wakichuana na Zanzibar Heros.


MSIMAMO WA MAKUNDI YOTE BAADA YA MICHEZO YA LEO NI KAMA IFUATAVYO:-


Group A

# Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 2 1 1 0 3 1 +2 4 W D
2 2 1 1 0 3 1 +2 4 W D
3 Previous rank: 4 2 1 0 1 3 4 -1 3 L W
4 Previous rank: 3 2 0 0 2 2 5 -3 0 L L
Next Round
Possible Next Round

Group B

# Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 Previous rank: 3 2 1 1 0 2 1 +1 4 W D
2 Previous rank: 4 2 1 1 0 2 1 +1 4 W D
3 Previous rank: 1 2 1 0 1 2 1 +1 3 L W
4 Previous rank: 2 2 0 0 2 0 3 -3 0 L L
Next Round
Possible Next Round

Group C

# Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 Previous rank: 3 2 2 0 0 4 0 +4 6 W W
2 Previous rank: 4 2 2 0 0 4 0 +4 6 W W
3 Previous rank: 2 2 0 0 2 0 2 -2 0 L L
4 Previous rank: 1 2 0 0 2 0 6 -6 0

No comments:

Post a Comment