Pages

Ads 468x60px

Monday, December 2, 2013

TIMUA TIMUA YA MAKOCHA YAENDELEA BARANI ULAYA REAL BETIS YAMFUTA KAZI PEPE MEL.







Klabu ya soka ya Real Betis inashiriki ligi kuu ya Hispania imemfuta kazi kocha wake Pepe Mel baada ya kuwa na mwanzo mbaya katika msimu huu wa La liga kiasi cha kuwafanya wakae kwenye eneo la kushuka daraja.

Mel ambaye ameiongoza timu hiyo katika michezo 15 msimu huu nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa nyambizi ya Villareal Juan Carlos Garrido aliyetimuliwa kazi mwaka 2011.

Mel mwenye umri wa miaka 50 alianza kuifundisha timu hiyo mwaka 2010 hadi hivi sasa alipofutwa kazi ambapo anaiacha timu hiyo ikiwa na alama 10 katika nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Hispania.

                                          mkule.blogspot.com

No comments:

Post a Comment