Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 4, 2013

RONALDO KUZINDUA MAKUMBUSHO YAKE DEC 15 MWAKA HUU WA 2013 MADEIRA.



 

Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anataraji kufungua makumbusho maalumu itakayokuwa ikihusisha maisha yake ya soka tangu alivyoanza hadi kustaafu.


Kwamujibu wa mtandano wa Goal.com Makumbusho hiyo itakayojengwa eneo la Madeira itakuwa inamkusanyiko wa tuzo mbalimbali ambazo amezipata tangu aanze kucheza soka akiwa na vilabu mbalimbali duniani.
 Ujenzi wa makumbusho hiyo ni wazo la mama mzazi wa Ronaldo project ambayo itakuwa ni ya Familia yake hii ikiwa ni mmoja ya vyanzo vya kumpatia pesa mchezaji huyo katika  kisiwa cha  Madeira chenye ikilichokuwa na  idadi ya watu  267,785 kwa  takwimu za mwaka 2011.
Eneo hilo lililopo nchini Ureno lina ukubwa wa kilomita za mraba zipatazo 801 lilivuumbuliwa mwaka 1420.
 
Hatahivyo taarifa hiyo imebainisha kuwa makumbusho hiyo iliyogharamiwa na Ronaldo mwenyewe katika uandaaji wa kilakitu itafunguliwa  15 mwezi huu na itakuwa na maufaa makubwa kwa  kisiwa cha Madeira.  

Ronaldo mwenye umri wa miaka 28 akiwa ameshinda mataji makubwa 11 akiwa katika mataifa ya Hispania na England miongoni mwa tuzo zitakazokuwepo kwenye makumbusho hiyo ni Ballon d’Or kumbukumbu ya kuingia mara 7 katika kikosi cha Uefa cha mwaka,kushinda mara mbili kiatu cha dhahabu cha uefa,pamoja na tuzo za goli bora la mwaka tuzo inayotolewa na Fifa. 













International



As of 19 November 2013.[359]
National team Year Apps Goals
Portugal 2003 2 0
2004 16 7
2005 10 2
2006 14 6
2007 10 5
2008 8 1
2009 7 1
2010 11 3
2011 9 7
2012 13 5
2013 9 10
Total 109 47

International goals

Scores and results list Portugal's goal tally first.

Honours




Club

Manchester United
Real Madrid

International

Portugal
Fourth place (1): 2006
Runner-up (1): 2004
Bronze (1): 2012

Individual

Orders

Records

(As of September 28, 2013)

World

mkule.blogspot.com

No comments:

Post a Comment