Pages

Ads 468x60px

Saturday, January 17, 2015

VIKOSI VYOTE VYA MATAIFA 16 YANAYOSHIRIKI FAINALI ZA AFRIKA (AFCON)2015.



                                               BURKINA  FASO.


                               Kikosi cha Burkinafaso.

Walinda mlango: 1-Moussa Fofana (Racing Club Kadiogo), 23-Moussa Germain Sanou (Beauvais), 16-Abdoulaye Soulama (Hearts of Oak)
Mabeki: 14-Wilfried Balima (Sheriff Tiraspol), 13-Narcisse Bambara (Universitatea Cluj), 9-Issa Gouo (AS Kaloum), 5-Mohamed Koffi (Zamalek), 4-Bakary Kone (Olympique Lyon), 8-Paul Keba Koulibaly (Horoya), 7-Florent Rouamba (CA Bastia), 2-Steeve Yago (Toulouse)
Viungo: 12-Adama Guira (SonderyskE), 18-Charles Kabore (FC Kuban), 6-Djakaridja Kone (Evian Thonon Gaillard FC), 22-Prejuce Nakoulma (Mersin Idmanyurdu), 21-Abdou Razack Traore (Kardemir Karabukspor), 19-Bertrand Traore (Vitesse Arnhem), 3-Moussa Yedan (Al Ahli), 17-Jonathan Zongo (Almeria)
Washambuliaji: 15-Aristide Bance (HJK Helsinki), 20-Issiaka Ouedraogo (Admira Wacker), 11-Jonathan Pitroipa (Al Jazira), 10-Alain Traore (FC Lorient).

                              CONGO BRAZAVILLE.

                           Kikosi cha Congo Brazaville.

Walinda mlango: 1-Christoffer Mafoumbi (Le Pontet), 16-Chansel Massa (AC Leopards), 22-Pavhel Ndzila (Etoile du Congo)

Mabeki: 18-Marvin Baudry (Amiens), 6-Dimitri Bissiki (AC Leopards), 5-Arnold Bouka Moutou (Angers), 23-Atoni Mavoungou (CNFF), 4-Boris Moubio (AC Leopards), 2-Francis Nganga (Charleroi), 3-Igor Nganga (FC Aarau)

Viungo: 21-Sagesse Babele (AC Leopards), 20-Hardy Binguila (Diables Noirs), 14-Cesair Gandze (AC Leopards), 17-Chris Malonga (Lausanne), 8-Delvin Ndinga (Olympiakos), 7-Prince Oniangue (Stade de Reims)

Washambuliaji: 13-Thievy Bifouma (Almeria), 10-Fode Dore (CFR Cluj), 15-Ladislas Douniama (En Avant Guingamp), 9-Sylvere Ganvoula (Raja Casablanca), 12-Franci Litsingi (Teplice), 19-Dominique Malonga (Hibernian), France), 11-Fabrice Ondama (Wydad Casablanca).

                          EQUATORIAL GUINEA.

                     Kikosi cha timu ya taifa ya Equatorial Guinea.

Walinda mlango: 13-Aitor Embela (Malaga), 21-Carlos Mosibe (Atletico Semu Malabo), 1-Felipe Ovono (Deportivo Mongomo)

Mabeki: 19-Igor Engonga (CD Tropezon), 3-Dani (Tallinna Kalev), 5-Diosdado Mbele (both Leones Vegetarianos), 17-Miguel Angel Maye (Akonangui), 4-Rui (Hibernians FC), 16-Sipo (AEK Larnaca)

Viungo: 6-Juvenal Edjogo (Santa Coloma), 18-Viera Ellong Doualla (The Panthers), 20-Pablo Ganet (UD Sanse), 15-Charly Martin (College Europa), 10-Emilio Nsue (Middlesbrough), 8-Randy (Iraklis), 14-Ivan Zarandono (Rangers FC)

Washambuliaji: 11-Javier Balboa (Estoril), 2-Ruben Belima (Real Madrid B), 7-Ivan Bolado (Pune City), 9-Raul Fabiani (Olimpic Xativa), 12-Kike (Mallorca B), 23-Ruben Dario (Ariana), 22-Iban Salvador (Valencia B).

                                        GABON.

              Kikosi cha timu ya taifa ya Gabon kitakachoshiriki AFCON 2015.

Walinda mlango: 23-Stephane Bitseki (CF Mounana), 16-Anthony Mfa Mezui (Metz), 1-Didier Ovono (Oostende)

Mabeki: 5-Bruno Ecuele Manga (Cardiff City), 4-Yroundu Musavu-King (Caen), 15-Henri Ndong (AJ Auxerre), 6-Johann Obiang (Chateauroux), 2-Aaron Ondele Appindangoye (CF Mounana), 14-Junior Randal Oto’o Zue (Braga), 8-Lloyd Palun (Nice), 19-Benjamin Ze Ondo (Entente Setif)

Viungo: 12-Guelor Kanga Kaku (Rostov), 11-Levy Madinda (Celta Vigo), 13-Samson Mbingui (Mouloudia Alger), 22-Didier Ndong (FC Lorient), 18-Alexander Ndoumbou (Olympique Marseille), 17-Andre Poko (Girondins Bordeaux), 20-Bonaventure Sokambi (CF Mounana)

Washambuliaji: 9-Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), 10-Frederic Bulot (Charlton Athletic), 7-Malick Evouna (Wydad Casablanca), 3-Johan Lengoualama (Difaa El Jadida), 21-Romaric Rogombe (AC Leopards).

                         CAPE VERDE ISLANDS


        Kikosi cha timu ya taifa ya Cape Verde kitakachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 16-Ivan Cruz (Gil Vicente), 12-Kevin Sousa (Nacional), 1-Vozinha (Progresso Sambizanga)

Mabeki: 23-Carlitos (APOEL Nicosia), 22-Jeffrey Fortes (FC Dordrecht), 14-Gege (Maritimo), 4-Kay (Universitatea Craiova), 18-Nivaldo Santos (Teplice), 2-Stopira (Videoton), 3-Fernando Varela (Steaua Bucharest)

Viungo: 5-Babanco (Estoril), 17-Calu Lima (Progresso Sambizanga), 13-Platini (CSKA Sofia), 15-Nuno Rocha (Universitatea Craiova), 6-Sergio Semedo (Olhanense), 8-Tony Varela (Excelsior)

Washambuliaji: 21-Djaniny (Santos Laguna), 7-Odair Fortes (Stade de Reims), 10-Heldon (Sporting), 9-Kuca (Estoril), 20-Ryan Mendes (Lille), 11-Garry Rodrigues (Elche), 19-Julio Tavares (Dijon).

            DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO.


                          Kikosi cha DR Congo kitakachoshiriki AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 1-Robert Kidiaba (TP Mazembe Englebert), 16-Nicaise Kudimbana (Anderlecht), 23-Parfait Mandanda (Charleroi)

Mabeki: 12-Mabele Bawaka (AS Vita Club), 3-Jean Kasusula, 15-Joel Kimwaki (both TP Mazembe Englebert), 22-Chancel Mbemba (Anderlecht), 17-Cedric Mongongu (Evian Thonon Gaillard FC), 2-Issampa Mpeko (Kabuscorp), 4-Christopher Oualembo (Academica), 14-Gabriel Zakuani (Peterborough)

Viungo: 8-Herve Kage (Racing Genk), 10-Neekens Kebano (Charleroi), 20-Lema Mabidi (AS Vita Club), 6-Cedric Makiadi (Werder Bremen), 7-Youssouf Mulumbu (West Bromwich Albion), 5-Jean Munganga (AS Vita Club)

Washambuliaji: 19-Jeremy Bokila (Terek Grozny), 11-Yannick Bolasie (Crystal Palace), 13-Junior Kabananga (Cercle Bruges), 18-Cedric Mabwati (Osasuna), 9-Dieumerci Mbokani (Dynamo Kiev), 21-Firmin Mubele (AS Vita Club).

                                               TUNISIA.


                      Kikosi cha Tunisia kinachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 22-Moez Ben Cherifia (Esperance), 1-Farouk Ben Mustapha (Club Africain), 16-Aymen Mathlouthi (Etoile Sahel)

Mabeki: 3-Aymen Abdennour (Monaco), 5-Rami Bedoui (Etoile Sahel), 23-Slim Ben Jemai (Laval), 2-Syam Ben Youssef (Astra Giurgiu), 12-Ali Maaloul (CS Sfaxien), 17-Hamza Mathlouthi (CA Bizerte), 4-Bilel Mohsni (Rangers), 20-Mohamed Ali Yaakoubi (Esperance)

Viungo: 9-Yassine Chikhaoui (FC Zurich), 18-Wahbi Khazri (Girondins Bordeaux), 15-Mohamed Ali Moncer (CS Sfaxien), 7-Youssef Msakni (Lekhiwa), 14-Stephane Nater (Club Africain), 6-Houcine Ragued (Esperance), 21-Jamel Saihi (Montpellier HSC), 13-Ferjani Sassi (CS Sfaxien)

Washambuliaji: 8-Fakhreddine Ben Youssef (CS Sfaxien), 11-Amine Chermiti (FC Zurich), 19-Saber Khelifa (Club Africain), 10-Hamza Younes (Ludogorets Razgrad).

                                         ZAMBIA.


            Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia (chipolopolo)kitakachoshiriki AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 1-Danny Munyao (Red Arrows), 16-Kennedy Mweene (Mamelodi Sundowns), 22-Joshua Titima (Power Dynamos)

Mabeki: 2-Donashano Malama (Nkana FC), 18-Emmanuel Mbola (Hapoel Ra’anana), 4-Christopher Munthali (Nkana FC), 23-Patrick Ngoma (Red Arrows), 6-Davies Nkausu (Bloemfontein Celtic), 13-Stopilla Sunzu (Shanghai Shenhua)

Viungo: 5-Roderick Kabwe (Zanaco), 17-Rainford Kalaba (TP Mazembe Englebert), 3-Chisamba Lungu (Ural Yekaterinenburg), 14-Kondwani Mtonga (Zesco United), 10-Mukuka Mulenga (Bloemfontein Celtic), 8-Bruce Musakanya (Red Arrows), 11-Lubambo Musonda (FC Ulisses), 7-Spencer Sautu (Green Eagles), 19-Nathan Sinkala (Grasshoppers Zurich)

Washambuliaji: 9-Ronald Kampamba (Nkana), 12-Evans Kangwa (Hapoel Ra’anana), 20-Emmanuel Mayuka (Southampton), 21-Jackson Mwanza (Zesco United), 15-Given Singuluma (TP Mazembe Englebert).

                                          ALGERIA


                   Kikosi cha timu ya taifa ya Algeria kinachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 1-Azzedine Doukha (JS Kabylie), 23-Rais Mbolhi (Philadelphia Union), 16-Mohamed Lamine Zemmamouche (USM Alger)

Mabeki: 2-Madjid Bougherra (Foujairah), 4-Liassine Cadamuro (Osasuna), 3-Faouzi Ghoulam (Naples), 5-Rafik Halliche (Qatar SC), 20-Aissa Mandi (Stade de Reims), 12-Carl Medjani (Trabzonspor), 6-Djamel Mesbah (Sampdoria), 22-Medhi Zeffane (Olympique Lyon)

Viungo: 14-Nabil Bentaleb (Tottenham Hotspur), 11-Yacine Brahimi (FC Porto), 18-Abdelmoumene Djabou (Club Africain), 10-Sofiane Feghouli (Valencia), 17-Foued Kadir (Real Betis), 21-Ahmed Kashi (Metz), 8-Mehdi Lacen (Getafe), 7-Riyad Mahrez (Leicester City), 19-Saphir Taider (Sassuolo)

Washambuliaji: 9-Ishak Belfodil (Parma), 13-Islam Slimani (Sporting), 15-El Arabi Soudani (Dinamo Zagreb).

                                                GHANA.


                         Kikosi cha timu ya taifa ya Ghana kitakachoshiriki AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 1-Razak Braimah (Mirandes), 16-Fatau Dauda (AshGold), 12-Ernest Sowah (Don Bosco)

Mabeki: 23-Harrison Afful (Esperance), 5-Mohammed Awal (Maritzburg United), 18-Daniel Amartey (FC Copenhagen), 21-John Boye (Erciyesspor), 4-Edwin Gyimah (Mpumalanga Black Aces), 19-Jonathan Mensah (Evian Thonon Gaillard), 17-Baba Rahman (FC Augsburg)

Viungo: 20-David Accam (Chicago Fire), 22-Frank Acheampong (Anderlecht), 6-Afriyie Acquah (Parma), 8-Emmanuel Agyemang-Badu (Udinese), 14-Solomon Asante (TP Mazembe Englebert), 7-Christian Atsu (Everton), 10-Andre Ayew (Olympique Marseille), 13-Rabiu Mohammed (FK Krasnodar), 11-Mubarak Wakaso (Celtic)

Washambuliaji: 2-Kwesi Appiah (Cambridge United), 9-Jordan Ayew (FC Lorient), 3-Asamoah Gyan (Al Ain), 15-Mahatma Otoo (Sogndal).

                                          SENEGAL


                             Kikosi cha Senegal kinachoshiriki AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 23-Pape Demba Camara (Sochaux), 1-Bouna Coundoul (Ethnikos), 16-Lys Gomis (Trappani)

Mabeki: 3-Papy Djilobodji (Nantes), 21-Lamine Gassama (FC Lorient,), 13-Cheikh Mbengue (Stade Rennes), 2-Kara Mbodj (Racing Genk), 18-Pape Ndiaye Souare (Lille, France), 6-Lamine Sane (Girondins Bordeaux), 14-Zargo Toure (Le Havre)

Viungo: 12-Stephane Badji (Brann Bergen), 5-Pape Kouli Diop (Levante), 17-Idrissa Gana Gueye (Lille), 8-Cheikhou Kouyate (West Ham United), 4-Alfred Ndiaye (Real Betis), 20-Salif Sane (Hannover 96)

Washambuliaji: 15-Papiss Demba Cisse (Newcastle United), 9-Mame Birame Diouf (Stoke City), 19-Moussa Konate (FC Sion), 10-Sadio Mane (Southampton), 11-Dame Ndoye (Lokomotiv Moscow), 22-Henri Saivet (Girondins Bordeaux), 7-Moussa Sow (Fenerbahce).

                                     SOUTH AFRICA.


                     Kikosi cha Afrika ya kusini kinachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu

Walinda mlango: 1-Darren Keet (Kortrijk), 16-Nhlanhla Khuzwayo (Kaizer Chiefs), 22-Jackson Mabokgwane (Mpumalanga Black Aces)

Mabeki: 2-Rivaldo Coetzee (Ajax Cape Town), 14-Thulani Hlatshwayo (Bidvest Wits), 3-Mulomowandau Mathoho (Kaizer Chiefs), 11-Thabo Matlaba (Orlando Pirates), 6-Anele Ngcongca (Racing Genk), 4-Siyabonga Nhlapo (Bidvest Wits), 21-Patrick Phungwayo (Orlando Pirates)

Viungo: 15-Dean Furman (Doncaster Rovers), 5-Andile Jali (Oostende), 12-Reneilwe Letsholonyane (Kaizer Chiefs), 20-Oupa Manyisa (Orlando Pirates), 7-Mandla Masango (Kaizer Chiefs), 18-Thuso Phala (SuperSport United), 13-Thami Sangweni (Chippa United), 8-Bongani Zungu (Mamelodi Sundowns), 19-Themba Zwane (Mamelodi Sundowns)

Washambuliaji: 9-Bongani Ndulula (AmaZulu), 17-Bernard Parker (Kaizer Chiefs), 23-Tokelo Rantie (Bournemouth), 10-Sibusiso Vilakazi (Bidvest Wits).
 

                                      CAMEROON.


                  Kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kitakachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 23-Pierre Sylvain Abogo (Tonnerre Yaounde), 1-Guy N’dy Assembe (Nancy), 16-Fabrice Ondoa (Barcelona)

Mabeki: 9-Frank Bagnack (Barcelona), 12-Henri Bedimo (Olympique Lyon), 21-Aurelien Chedjou (Galatasaray), 19-Cedric Djeugoue (Coton Sport), 5-Jerome Guihoata (Valenciennes), 3-Nicolas Nkoulou (Olympique Marseille), 6-Ambroise Oyongo (New York Red Bulls)

Viungo: 22-Patrick Ekeng (Cordoba), 18-Enoh Eyong (Standard Liege), 20-Franck Kom (Etoile Sahel), 4-Raoul Loe (Osasuna), 14-Georges Mandjeck (Erciyesspor), 17-Stephane Mbia (Sevilla), 11-Edgar Salli (Academica)

Washambuliaji: 10-Vincent Aboubakar (FC Porto), 13-Eric Choupo-Moting (Schalke 04), 15-Franck Etoundi (FC Zurich), 2-Leonard Kweuke (Rizespor), 8-Benjamin Moukandjo (Stade de Reims), 7-Clinton Njie (Olympique Lyon)

                                        GUINEA


                            Kikosi cha waandaaji wa fainali za AFCON mwaka huu Guinea.


Walinda mlango: 22-Aboubacar Camara (Murcia), 16-Abdul Aziz Keita (AS Kaloum), 1-Naby Yattara (Arles Avignon)

Mabeki: 5-Fode Camara (Horoya), 13-Abdoulaye Cisse (Angers), 21-Mohammed Diarra (Odense), 4-Florentin Pogba (St Etienne), 20-Baissama Sankoh (En Avant Guingamp), 3-Issiaga Sylla (Toulouse), 23-Djibril Tamsir Paye (Zulte Waregem), 6-Kamil Zayatte (Sheffield Wednesday)

Viungo: 14-Lanfia Camara (Mechelen), 10-Kevin Constant (Trabzonspor), 12-Ibrahima Conte (Anderlecht), 17-Boubacar Fofana (Nacional), 15-Naby Keita (Salzburg), 9-Guy-Michel Landel (Orduspor)

Washambuliaji: 7-Abdoul Razzagui Camara (Angers), 19-Francois Kamano (Bastia) 18-Seydouba Soumah (Slovan Bratislava), 11-Idrissa Sylla (Zulte Waregem), 8-Ibrahima Traore (Borussia Monchengladbach), 2-Mohamed Yattara (Olympique Lyonnaise).

                             IVORY COAST

                              Kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast.

Walinda mlango: 1-Boubacar Barry (Lokeren), 16-Sylvain Gbohouo (Sewe Sport), 23-Sayouba Mande (Staebek)

Mabeki: 13-Jean-Daniel Akpa Akpro (Toulouse), 17-Serge Aurier (Paris Saint-Germain), 21-Eric Bertrand Bailly (Espanyol), 22-Wilfried Kanon (ADO Den Haag), 5-Siaka Tiene (Montpellier HSC), 4-Kolo Toure (Liverpool), 2-Ousmane Viera (Rizespor)

Viungo: 3-Roger Assale (Sewe Sport), 20-Serey Die (Basle), 14-Ismael Diomande (St Etienne), 6-Cheick Doukoure (Metz), 15-Max Gradel (St Etienne), 9-Cheick Tiote (Newcastle United), 19-Yaya Toure (Manchester City)

Washambuliaji: 12-Wilfried Bony (Swansea City), 7-Seydou Doumbia (CSKA Moscow), 10-Gervinho (Roma), 8-Salomon Kalou (Hertha Berlin), 11-Junior Tallo (Bastia), 18-Lacina Traore (Monaco).

                                                  MALI.
 
                          Kikosi cha timu ya taifa ya Mali kitakachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: 1-Germain Berthe (Onze Createurs), 16-Soumaila Diakite (Esteghlal Meli-Sanati Khuzestan), 22-Ntji Michel Samake (CS Duguwolofila)

Mabeki: 5-Idrissa Coulibaly (Hassania Agadir), 13-Ousmane Coulibaly (Platanias), 4-Salif Coulibaly (TP Mazembe Englebert), 15-Drissa Diakite (Bastia), 2-Fousseyni Diawara (Tours), 19-Mohamed Konate (Renaissance Berkane), 3-Adama Tamboura (Randers), 23-Molla Wague (Udinese)

Viungo: 11-Sigamary Diarra (Valenciennes), 6-Tongo Hamed Doumbia (Toulouse), 12-Seydou Keita (Roma), 17-Mamoutou Ndiaye (Zulte Waregem), 8-Yacouba Sylla (Erciyesspor), 21-Abdou Traore (Girondins Bordeaux)

Washambuliaji: 18-Abdoulaye Diaby (Mouscron-Peruwelz), 20-Modibo Maiga (Metz), 10-Bakary Sako (Wolverhampton Wanderers), 9-Mohamed Traore (Al Merreikh), 7-Mustapha Yatabare (Trabzonspor), 14-Sambou Yattabare (En Avant Guingamp).

                                          SENEGAL.

                                  Kikosi cha Senegal kinachoshiriki fainali za AFCON mwaka huu.

Walinda mlango: Bouna Coundoul (Ethnikos, Cyprus), Lys Gomis (Trappani, Italy), Pape Demba Camara (Sochaux, France), Ousmane Mané (Diambars, Senegal)

Walinzi: Zargo Touré (Le Havre, France), Lamine Gassama (Lorient, France), Lamine Sané (Bordeaux, France), Kara Mbodj (Genk, Belgium), Pape Ndiaye Souaré (Lille, France), Papy Djilobodji (Nantes, France), Boukary Dramé (Atalanta Bergame, Italy), Ibrahima Mbaye (Inter, Italy), Cheikh Mbengue (Rennes, France)

Viungo.: Cheikhou Kouyaté (West Ham, England), Pape Kouli Diop (Levante, Spain), Idrissa Gana Guèye (Lille, France), Stéphane Badji (Brann, Norway), Salif Sané (Hanovre, Germany), Pape Alioune Ndiaye (Bodo Glimt, Norway), Alfred Ndiaye (Bétis, Spain)

Washambuliaji: Diafra Sakho (West Ham, England), Mame Birame Diouf (Stoke, England), Sadio Mané (Southampton, England), Moussa Sow (Fenerbahçe, Turkey), Papiss Demba Cissé (Newcastle, England), Henri Saivet (Bordeaux, France), Dame Ndoye (Lokomotiv, Russia), Moussa Konaté (FC Sion, Switzerland).

                                       Mkule.blogsport.com

WAFAHAMU SIMBA WA TERANGA A.K.A SENEGAL KUELEKEA AFCON 2015.



              Senegal,Simba wa Teranga waliojiandaa kurejesha heshima yao barani Afrika.

Senegal ilipata Uhuru wake mwaka 1960 ikiwa koloni la Ufaransa.
Kiongozi mkuu wa nchi ya Senegal ni RAIS na  hii ni baada ya katiba  ya taifa hilo  iliyopitishwa  mwaka 2001 ambapo  rais wa nchini hiyo huongoza kwa miaka mitano ndipo uchaguzi hufanyika.
Rais wa sasa wa Senegal ni Macky Sall aliyezaliwa mwaka 1961 na aliingia madarakani  April 2 mwaka 2012 akichukua nafasi ya Abdoulaye Wade aliingia madarakani  April 1 2000 akichukua mikoba ya rais wa wakati huo Abdou Diouf aliyeingia matarakani  January 1 mwaka 1981.
Tangu ipate uhuru wake kutoka kwa Ufaransa mwaka 1960 Senegal imeongozwa na marais wane tuu akiwemo huyu wasasa.
Rais wa kwanza ambaye ni baba wa taifa la Senegal ni Léopold Sédar Senghor aliyeongoza kwa miaka 20 tangu  sept 6 1960 hadi dec 31 1981, alizaliwa mwaka 1906 na kufariki dunia 2001 akiwa na umri wa miaka 95.
 Nchi hii inapatikana magharibi mwa bara la Afrika  na mjini mkuu wake ni Dakar mji unaotajwa kuwa na wakazi milioni 2.45 wanaoishi jijini humo.
Hadi dec mwaka jana taifa hili  linakadiriwa kuwa na watu wapatao milioni 14 laki 786 mia 504,wanaume wakiwa milioni 7333 705 sawa na 49.6%   ya wananchi wote huku wanawake wakiwa milioni 7452 801 sawa na 50.4%.
Lugha kuu ya taifa la Senegal ni Kifaransa.
Miongoni mwa miji mashuhuri nchini Senegal mbali na jiji la Dakar  ni.. Sant Louis, Ziguinchor na M'Bour.
Uchumi wa wananchi ya Senegal  unategemea Uvuvi,kilimo cha karanga,utalii na madini aina ya phosphates, na asilimia kubwa ya wananchi wa taifa hili ni wakulima.
Timu ya taifa ya Senegal inajulikana kama SIMBA WA TERANGA kwa jina la utani .
Mara ya kwanza kucheza mchezo wa kimataifa kwa timu hii ilikuwa dhidi ya British Gambia mwaka 1959 wakati huo Senegal ikijulikana kama  French Senegal.
Katika mchezo huo Senegal ilishinda magoli 2 kwa 1 dhidi ya British Gambia ambayo kwasasa inajulikana kama Gambia.

Ushindi mkubwa iliyowahi kuupata Senegal ni wa magoli 7 kwa 0 dhidi ya Mouritius ilikuwa oct 9 mwaka 2010.
Kipigo kikubwa ilichowahi kukipata timu ya taifa ya Senegal au Simba wa Teranga ni cha magoli 5 kwa 0 kutoka kwa Guinea march 6 mwaka 1966.
Senegal imeshiriki kombe la dunia mara moja tuu  mwaka 2002 na kufikia hatua ya robo fainali wakati huo kikosi hicho kikiwa chini ya kocha Bruno Metsu na kuongozwa na nahodha wa wakati huo Alhadji Diof nyota wa zamani wa vilabu mbalimbali barani Ulaya ikiwemo Liveroop.
Bila shaka wengi mtaikumbuka Senegali hii ambayo iliushangaza Ulimwengu kwakuifurusha Ufaransa ya Zinedine Zidane  goli 1 kwa 0 na kuwa talk of the World.
Baada ya ukali huo wa 2002 Senegal ikapotea kiasi cha wengi kuhoji kulikoni?ikawa hivo baadae aliyekuwa kocha wa Senegal wakati huo Bruno Metsu akaondoka na taarifa za kushtua zikajiri  October 14 2013 kwamba amefariki dunia  katika kijiji cha Coudekerque kilichopo nchini Ufaransa .
Daima atakumbukwa na mashabiki wengi wa Senegal kwa mchango wake alioutoa kwa timu yao ya taifa.
 Kwasasa Senegal inashika nafasi ya 35 kwenye ubora wa soka duniani kwenye takwimu zilizotolewa January 8 mwaka huu.
Nafasi ya juu kuwahi kushika katika ubora wa soka duniani ni ya 26 na hii ilikuwa juni 2004 na nafasi ya chini zaidi kuwahi kushika nchi hii katika ubora huo wa soka duniani ni ya 99 mwezi juni mwaka 2013.
Kocha mkuu wa sasa wa timu ya taifa ya Senegal ni Alain Giresse akisaidiwa na kocha msaidizi Aliou Cisse na nahodha wa kikosi hichi kwasasa ni Bouna Condoul ambaye hucheza nafasi ya Golini ya Mlindamlango.
FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA.
Senegal al maarufu Simba wa Teranga imeshiriki kombe la mataifa ya Afrika AFCON mara 12.
Mara ya kwanza ilikuwa 1965.
Hatua nzuri iliyowahi kufikia  kwenye fainali hizi ni kushika nafasi ya 2 katika fainali za mwaka 2002  zilizofanyika nchini MALI na ubingwa kunyakuliwa na CAMEROON huu ukiwa ni ubingwa wa 4 kwao.
 Katika fainali za AFCON mwaka huu Senegal ni miongoni mwa mataifa yatakayoshiriki huko nchini Guinea ikiwa na muonekano wa tofauti kabisa na wengi walivyotarajia.
Wachezaji wenye majina kama Demba Ba  wameaachwa kwenye kikosi hicho na badala yake chipkizi wamesheheni katika kikosi hichi chini ya kocha mkuu Alain Giresse.
Wapo katika kundi linaloaminika kuwa ni la kifo,kundi C lenye mataifa kama Ghana,Algeria,na Afrika ya kusini.
Pamoja na kuwa kwenye kundi la kifo Simba hawa wa Teranga huenda wakarejesha heshima yao iliyopotea tangu mwaka 2002 walipotinga robo fainali ya kombe la dunia  kutokana kocha wa sasa kukisuka upya kikosi hicho huku kikisheheni nyota wengi wanaosakata soka barani Ulaya hususani Ufaransa ambapo ni Koloni lao.
Hebu angalia safu ya hii ya ushambuliaji wa Simba hawa wa Teranga inayoundwa na nyota wanaotamba katika ligi kuu mbalimbali barani Ulaya hususani  Uingereza hivi sasa Diafra Sakho (West Ham, England), Mame Birame Diouf (Stoke, England), Sadio Mané (Southampton, England), Moussa Sow (Fenerbahçe, Turkey), Papiss Demba Cissé (Newcastle, England), Henri Saivet (Bordeaux, France), Dame Ndoye (Lokomotiv, Russia), Moussa Konaté (FC Sion, Switzerland)
Mimi nakuachia wewe utafakari  lakini sidhani kama Simba wateranga wanaenda kutalii nchini Guinea mwaka huu bali wanaenda kuweka historia nyingine mhimu katika soka la barani Afrika hivi sasa.
                                          Mkule.blogsport.com